Posts

Showing posts with the label Ujasiriamali

PESA HUWA ZINAJIFICHA WAPI?

Image
NAFASI ZA SENSA 2022 www.tamisemi.go.tz JIANDAE KUHESABIWA Watu wengi siku hizi tunahangaika kutafuta pesa lakini hatujui pesa zimejificha wapi. Hapa nataka nikuoneshe sehemu tano ambazo pesa hujificha. 1.KIPAJI CHAKO Watu wengi wenye vipaji sasa hivi ndio wanaoingiza pesa ndefu Sana kwa urahisi ndani ya muda mchache na wanahitajika Kila siku. Chukulia mfano. Mkandarasi akatangaza uwepo wake ukumbini kiingilio Tsh.500/= watakuja watu wangapi? Wewe utakwenda? Lakini diamond platnumz akitangaza atakuwepo kwa kiingilio Cha shilingi elfu tatu maelfu ya watu watamiminika. Watu wengi sasa hivi wanalipwa kwa kuhudumia watu wengi mfano Mbwana Samatta akiingia uwanjani maelfu na Malaki ya watu hufurahi hivyo basi anapata pesa nyingi kutokana na watu wengi na kupata balozi mbalimbali. Lakini daktari atahudumia wagonjwa tu waambao kwa siku huenda akahudumia sio zaidi ya mia moja.Hivyo basi hata Kama una taaluma yako lakini bado unatakiwa ukijue kipaji chak

JINSI YA KUTENGENEZA UBUYU WA BABU ISSA

Image
NAFASI ZA SENSA 2022 www.tamisemi.go.tz JIANDAE KUHESABIWA Kama ambavyo tunajua ubuyu huu ni pendwa Sana na watu hasa kwa wewe mjasiriamali ni vema ukajifunza. MAHITAJI 1. Sukari (vikombe 2 vya chai) 2. Maji (Vikombe vikubwa 2) 3. Ubuyu wa tunda (vikombe 4) 4. Ubuyu wa Unga (nusu kikombe) 5. Pilipili ya Unga (robo kijiko) 6. Chumvi ya Unga (Robo kijiko) 7. Hiliki ya Unga (robo kijiko ) 8. Rangi nyekundu au yoyote. NAMNA ✓ Chukua sifuria weka maji yachemke changanyana sukari, chumvi, pilipili ya Unga, rangi na hiliki ✓ Mimina ubuyu wa tunda na kuroga kwa dakika mbili ✓ Mimina ubuyu wa Unga na koroga ✓Baada ya hapo Mimina kwenye chombo Cha wazi na uache upoe Kama umependeza somo langu la leo weka comment hapo chini au Kama unaswali nitakujibu punde. KARIBU TENA

JINSI YA KUTENGENEZA TAMBI NZURI ZA DENGU

Image
NAFASI ZA SENSA 2022 www.tamisemi.go.tz JIANDAE KUHESABIWA Kwanza kabisa nikuhakikishie kuwa tambi za namna hii ni nzuri na tofauti kabisa na unazoziona barabarani. Kajaribu halafu utarudi kutoa mrejesho hasa kwa wajasiriamali hizi utaziuza Sana. MAHITAJI 1. Unga wa dengu (8-10)Kg 2. Sukari (2Kg) 3. Ngano (2Kg) 4. Manjano (kijiko 1) 5. Chicken Masala (Kijiko 1) 6. Kitunguu swaum kilichopondwa kiasi 7.Baking powder ya Simba ya blue (nusu kijiko) 8. Pilipili manga (Kijiko 1) 9. Chumvi kiasi 10. Maji ya vuguvugu (lita 3-4) 11. Mafuta ya kula NAMNA YA KUTENGENEZA ✓ Changanya mchanganyo wote kasoro maji mpaka vichanganyike ✓ Weka maji ya vugu vugu mpaka mchanganyo wako uwe laini Kama ugali wa mtoto ✓ Chota mchanganyo wako weka kwenye kifaa Cha kutengenezea tambi ✓ Hakikisha mafuta yamepata moto vizuri ✓ Kaanga tambi kwenye mafuta (Koroga Mara moja) ✓ Chuja mafuta kwenye tambi baada ya kuzitoa jikoni > ✓ Subiri zipoe na tambi zako zitak

SEHEMU 9 ZITAKAZOKUFANYA UWE MILLIONAIRE

Image
International Admin 1. HUDUMA ZA KIFEDHA (financial services) Hapa unaweza kufanya huduma mbalimbali Kama vile za kibenki, uwakala wa mitandao ya simu na bank, mikopo,makampuni ya bima n.k watu wengi hujipatia fedha kupitia mifumo hiyo Kama uwakala hakikisha unalenga eneo linalokuwa na mjongeo wa watu wengi Kama vile barabarani, vyuoni,n.k Unaweza kwenda kufungua bonus account kwa NMB bank kima Cha chini ni elfu hamsini yani hizo bonus account wewe unakuwa unaiacha pesa yako kwa miezi kuanzia 3 bila kuitoa ila wanakuwa wanakulipa kwa ongezeko la asilimia fulani kwa mwezi kadri unavoiacha. Kwa hiyo utalipwa kutokana na kiwango Cha pesa zako wanakuwa na % za kugawa faida. Au unaweza kununua hisa (shares) kwa wale wasioelewa hisa naomba niwatolee mfano: Mimi na marafiki zangu 3 tunaanzisha kampuni mtaji ulotumika elfu kumi, mimi nimetoa elfu 5 mmoja katoa elfu 3 na mwingine elfu mbili kwahiyo mgawanyo wetu wa umiliki wa ile kampuni Mimi nitamiliki 50% mwingine ata

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI

Image
International Admin MAHITAJI •Sulphonic acid (salfonik asid) •Soda Ash •Gryserine •Perfume (pafyum) • Rangi •Slace • Chumvi ya mawe •Formalin (fomalin) •Alka VIFAA ✓Kikombe Cha Lita moja ✓Kijiko Cha chakula ✓Beseni ✓Ndoo ya Lita 20 tupu ✓Maji Lita 20 HATUA 1. Mimina maji lita moja kwenye beseni 2. Ongeza nusu Lita ya sulphonic acid 3. Ongeza slace nusu 4. Weka soda ash nusu HALAF KOROGA UPANDE MMOJA (Yani Kama utaanza kukoroga kwenda kushoto basi mwanzo mwisho utakoroga upande huo huo) 5.Weka chumvi ya mawe nusu (halaf koroga) 6. Changanya Alka nusu na maji lita tano pembeni (halaf mimina kwenye mchanganyiko na koroga upande ule ule ulioanza nao) 7. Weka Formalin vijiko vinne 8. Chukua rangi kijiko kimoja koroga pembeni halaf mimina kwenye mchanganyiko 9. Weka perfume vijiko 2 au 3 halafu KOROGA (perfume utanunua harufu uipendayo na hizi sio za kujipulizia mwilini) NB Kazi ya gryserine hii inawekwa ili kuua bacteria