JINSI YA KUTENGENEZA UBUYU WA BABU ISSA



NAFASI ZA SENSA 2022 www.tamisemi.go.tz JIANDAE KUHESABIWA

Kama ambavyo tunajua ubuyu huu ni pendwa Sana na watu hasa kwa wewe mjasiriamali ni vema ukajifunza.
MAHITAJI
1. Sukari (vikombe 2 vya chai)
2. Maji (Vikombe vikubwa 2)
3. Ubuyu wa tunda (vikombe 4)
4. Ubuyu wa Unga (nusu kikombe)
5. Pilipili ya Unga (robo kijiko)
6. Chumvi ya Unga (Robo kijiko)
7. Hiliki ya Unga (robo kijiko )
8. Rangi nyekundu au yoyote.

NAMNA
✓ Chukua sifuria weka maji yachemke
changanyana sukari, chumvi, pilipili ya Unga, rangi na hiliki
✓ Mimina ubuyu wa tunda na kuroga kwa dakika mbili
✓ Mimina ubuyu wa Unga na koroga
✓Baada ya hapo Mimina kwenye chombo Cha wazi na uache upoe


Kama umependeza somo langu la leo weka comment hapo chini au Kama unaswali nitakujibu punde.

KARIBU TENA

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

VITU VYA KUFANYA KARIBIA NA MITIHANI.

CHEKA WITH INTERNATIONAL ADMIN

JINSI YA KUANDAA VIUNGO VYA PILAU VYENYE HARUFU NZURI.