JINSI YA KUPIKA DAGAA WATAMU ZAIDI

πŸ₯•πŸ§…Jifunze Jinsi Ya Kupika roast la Dagaa mwanza Watamu πŸ₯•πŸ§…
πŸ₯•πŸ§… MAHITAJI πŸ₯•πŸ§…
1️⃣ Dagaa
2️⃣ Limao
3️⃣ Karoti
4️⃣ Bamia
5️⃣ Kituunguu Maji
6️⃣ Kitunguu Thoum
7️⃣ Pilipili Mbuzi
8️⃣ Pilipili Manga
9️⃣ Pilipili Boga
1️⃣0️⃣ Nyanya Maji
1️⃣1️⃣ Tomato Paste
πŸ₯•πŸ§… NAMNA πŸ₯•πŸ§…
1️⃣ Toa Vichwa Dagaa Wako
2️⃣ Chemsha Maji Yakichemka Yaipue
3️⃣ Weka Dagaa Kwenye Maji Ya Moto Kwa Dk20 Ili Uchafu Na Mawe Vitoweke
4️⃣ Waoshe Dagaa Vile Wewe Unataka Kama Na Sabuni, Maji Mara8 Ili Mradi Wawe Salama Kwa Utafunaji
5️⃣ Waweke Kwenye Nyungo/ungo Watawanye Waweke Juani Ili Wakauke Kupunguza Matumizi Ya Mafuta Kipindi Unawakaanga
6️⃣ Kipindi Dagaa Wapo Juani Andaa Viungo Vyako Kwa Usafi Na Kuvikata Kwa Mikato Upendayo πŸ”› Bamia
πŸ”› Karoti
πŸ”› Pilipili Boga
πŸ”› Pilipili Manga
πŸ”› Kitunguu Maji
πŸ”› Kitunguu Thoum
7️⃣ Weka Sufuria Jikoni Tia Mafuta Ya Kula Weka Na Chumvi Kiasi Yakipata Moto Weka Dagaa Zako Kaanga, Wakianza Kuwa Na Rangi Ya Udhurungi Weka Bamia Adi Bamia Ing'ae Ukijani
8️⃣ Utaweka Pilipili Manga, Karoti, Kitunguu Thoum, Tangawizi, Tomato Paste Kisha Changanya Moto Uwe Mdogo Sana
9️⃣ Baada Ya Viungo Kuiva Weka Limao Yako Na Pilipili Boga
1️⃣0️⃣ Weka Nyanya Maji Zako Na Chumvi Acha Diko Lichemke Ili Nyanya ikwive Na Kukaukia maji yake Kabisa
πŸ₯•πŸ§…Pembeni Upate Mboga Ya Majani na maharage

Comments

Popular posts from this blog

VITU VYA KUFANYA KARIBIA NA MITIHANI.

CHEKA WITH INTERNATIONAL ADMIN

JINSI YA KUANDAA VIUNGO VYA PILAU VYENYE HARUFU NZURI.